Makambi 2019 Mtaa wa Mtwara kufanyika 20-27 July

Makambi 2019 Mtaa wa Mtwara kufanyika 20-27 July
Mtwara: Sherehe kubwa za vibanda (Makambi) zinatarajia kufanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara kuanzia tare 20/07/2019 mpaka tarehe 27/07/2017. Tutakuwa tunawajulisha taarifa muhimu kuhusiana na sherehe hizi kila mara.

Waumini wote wa Mtaa wa Mtwara wanakumbushwa kuanza kutoa sadaka ya Makambi (Matumizi na Shukrani) kuanzia sasa ili kufanikisha sherehe hizi. Endelea kutembelea blog hii kwa taarifa zaidi toka Mtwara SDA.

Hakikisha unatumia vitufe vya mitandao ya kijamii hapo chini kusambaza ujumbe huu kwa waumini wengine. Ahsante.
Powered by Blogger.