MATANGAZO YA KANISA: SABATO YA 09 MAY 2020
3. EFFORT KWA NJIA YA REDIO INAENDELEA KILA SIKU ZA JUMAPILI KUANZIA SAA 1:30-2:00 ASUBUHI KUPITIA RADIO PRIDE 88.1 FM - MTWARA. TUNAKUALIKA KUSIKILIZA, KUWAALIKA WATU WENGI UWEZAVYO KUSIKILIZA NA KUCHANGIA HUDUMA HII KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI
KAMA ULIPITWA NA MFULULIZO WA MAHUBIRI KWA NJIA YA REDIO, BONYEZA HAPA KUSIKILIZA SOMO LILILOPITA
No comments
Post a Comment