Habari, hongera kwa kufanya kazi kwa muda wa siku sita. Nakukaribisha katika ibada takatifu ya ufunguzi wa Sabato leo jioni kuanzia saa 11:30. Kama wewe ni mgeni hapa Mtwara tafadhali uliza mahali lilipo kanisa la Wasabato utaoneshwa.
Mungu akubariki.
No comments
Post a Comment