Somo la Juma la Maombi la AMR March 2019
Somo la Juma la Maombi la AMR March 2019
Kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara kama ilivyo katika makanisa mengine ya Conference ya SEC linaendelea na juma maalumu la maombi la AMR (Adventist Muslim Relations).
Katika juma hili, mafundisho mbalimbali yameendelea kutolewa kuhusiana na namna bora ya kuifikishia injili jamii ya ndugu zetu waislamu.
AU