Karibu katika ibada ya ufunguzi wa Sabato

Habari za kazi, tunachukua fursa hii kukukaribisha katika ibada ya ufunguzi wa sabato kuanzia saa 11:30 jioni ya leo kisha tutaendelea na mfululizo wa mkutano wa injili "Tumekaribia Nyumbani" Jitahidi kuwepo, mkumbushe na mwingine.

Powered by Blogger.