Mkutano wa Injili kwa njia ya Sattelite: Tumekaribia Nyumbani
Habari ndugu mshiriki, tafadhali usikose kuungana nasi katika mkutano wa injili kwa njia ya Sattelite wenye kauli mbiu "Tumekaribia Nyumbani". Mkutano unaruka toka kanisa la Ikulu jijini Mbeya. Kanisa la Mtwara SDA lina kituo pale kanisani hivyo jioni ya leo usikose kufika na mgeni, muda ni kuanzia sa 12 kamili mpaka saa 2.
Kwa wale watakaopata dharura zitakazofanya washindwe kufika wanaweza kufuatilia mahubiri hayo na yale waliyo yakosa kupitia youtube
Kwa wale watakaopata dharura zitakazofanya washindwe kufika wanaweza kufuatilia mahubiri hayo na yale waliyo yakosa kupitia youtube