MAKAMBI MTWARA KUANZA TAREHE 23/08/2015

ZETTI NDOLA: MCHUNGAJI WA MTAA

Mtaa wa Mtwara unatarajia kuanza kambi lake mnamo Tarehe 23/08/2015, ambapo zimebaki siku chache kutoka hivi sasa. Mwenyekiti wa kambi Bw. R. Katondo ameendelea
kuwakumbusha washiriki wote kutoa Sadaka ya kambi ili kufanikisha mkutano huu mkubwa ambao ni muhimu kiroho. Bwana awabariki mnapokuwa mkijiandaa kumtolea.

No comments

Powered by Blogger.