EFFORT MTWARA SDA: ROHO 9 ZAONGOLEWA NA KUBATIZWA.
Kanisa la Waadventista Wasabato la Mtwara, limefanikiwa kufanya mkutano wa injili kwa majuma matatu katika viwanja vya kanisa hilo. Katika mkutano huo mkono wa Bwana umeonekana baada wa watu 9 kukubali kumpokea Yesu kwa njia ya ubatizo. Mbali na watu 9 walio jitoa kutoka kanisa la Mtwara, roho nyingine 3 kutoka katika kanisa la Ziwani zimempokea yesu na kufanya idadi ya walio batizwa kutoka katika makanisa hayo mawili kufikia watu 12. Wabatizwa wote waliapishwa na mzee wa kanisa la Mtwara mjini ndugu Amos Kamando na baadaye walielekea katika bahari ya Hindi tayari kwa ubatizo.
Mkutano wa injili uliodumu kwa muda wa wiki tatu sasa, utahitimishwa jioni ya leo kanisani hapo.
Mkutano wa injili uliodumu kwa muda wa wiki tatu sasa, utahitimishwa jioni ya leo kanisani hapo.
1 comment
nice
Post a Comment