MKUTANO WA INJILI MTWARA SDA WAZIDI KUFANA


Mkutano wa injili unao endelea katika viwanja vya kanisa la Waadventista Wasabato la Mtwara mjini unaingia katika wiki ya tatu na yamwisho. Mkutano huo ulianza wiki mbili zilizopita na umekuwa ukiendelea licha ya mvua kubwa zinazo endelea katika mji wa mtwara. Baadhi ya watumishi wanao hutubu katika mkutano huo ni mwinjilisti Chibarua, Godfrey Nyombi na bwana Paschal ambeye amekuwa akiendesha somo la Afya. Tafadhali kwa wale mnaoweza hebu mjitahidi kuhudhuria katika mkutano huu.

No comments

Powered by Blogger.