SABA WAZALIWA MARA YA PILI MTWARA SDA.
Mtaa wa Mtwara umeendelea kupata baraka kubwa baada ya waumini wapya saba (7) kubatizwa leo katika bahari ya Hindi. Waumini hao wapya waliapishwa mbele ya kanisa la Waadventista Wasabato la Mtwara na baada ya hapo walielekea baharini kwa ubatizo ambao uliendeshwa na mchungaji wa mtaa wa Mtwarab Pr. Zetti Ndola. Angalia picha za waumini hao wapya wakiwa mbele ya kanisa.
No comments
Post a Comment