EFFORT YA VIJANA WA TUCASA KUFUNGWA LEOWILAYANI NEWALA

Mkutano wa injili ulio dumu kwa muda wa wiki mbili sasa unahitimishwa leo wilayani Newala mkoani Mtwara. Mkutano huo unao endeshwa na vijana wa TUCASA toka Mtwara mjini umekusudia kupeleka injili ya kweli wilayani Newala. Ikumbukwe kuwa mkoa wa Mtwara ni miongoni mwa mikoa ambayo injili ya
kweli inapaswa kupelekwa kwa kasi ili kukamilisha kazi hiyo tuliyo pewa hapa duniani. Vijana wa TUCASA Mtwara wameamua kutumia muda wa likizo kuendesha mkutano huo ambao ni mbaraka mkubwa kwa watu wa Newala.

BOFYA HAPA KWA HABARI NYINGINE TOKA MTWARA SDA

No comments

Powered by Blogger.