KWAYA YA UFUNUO KUZINDUA DVD YAO KESHO



Kwaya ya kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara mjini iitwayo UFUNUO CHOIR inatarajia kuzindua santuli mwonekano (DVD) toleo la kwanza kesho tarehe 1/03/2015. Uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi wa chuo kikuu cha STEMUCO kilichopo
Mtwara mjini. Nyote mnaalikwa katika uzinduzi wa santuli mwonekano (DVD) hii.

BOFYA HAPA KUPATA HABARI NYINGINE TOKA MTWARA SDA

No comments

Powered by Blogger.