Mikutano ya Effort ya Majiji inaendelea mkoani Mtwara ambapo katika kanisa la Waadventista Wasabato la Mtwara watu 12 wamebatizwa sabato ya tarehe 19/09/2015. Angalia picha za wabatizwa wakiwa mbele ya kanisa muda mfupi kabla ya kuelekea katika bahari ya Hindi kwa ubatizo.
No comments
Post a Comment