MAKAMBI 2015 MTWARA

Tarehe 23 August 2015 mtaa wa Mtwara ulianza rasmi sherehe kubwa ya makambi ambapo washiriki wa mtaa huo pamoja na wageni toka kona mbalimbali wanajumuika pamoja kupata mafundisho ya kiroho kwa muda wa juma moja (Siku 7).
Katika kambi hilo Wachungaji waliopo ni Pr. Amina, Pr. Shehemba, Pr. Kusaga na Pr Mwanga ambaye ndiye mnenaji mkuu. 
Aidha kwaya iliyo alikwa katika makambi haya ni kwaya ya Kijichi kutoka jijini Dar es Salaam. Moto wa kambi ni "AMKA, PIGA HATUA KUELEKEA JUU". 
Kesho, siku ya ijumaa mchana tunatarajia kuwa na ubatizo mkubwa utakao fanyika katika bahari ya Hindi, usipange kukosa.

MCHUNGAJI  ZETTI NDOLA (MCHUNGAJI WA MTAA)

WASHIRIKI WAKISIKILIZA NENO

WASHIRIKI WA KAMBI

KWAYA YA KIJICHI IKIHUDUMU


KWAYA YA KIJICHI

No comments

Powered by Blogger.