Matendo ya Huruma: Picha na Video za Matukio mbalimbali Kanda ya Mtwara

Leo katika kuhitimisha juma la Matendo ya huruma, Kanda ya Mtwara imefanikiwa kufanya huduma katika Gereza la Chumvini mkoani Mtwara. Aidha washiriki wengi walijitoa kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo.

Huduma katika Gereza la Chumvini 

Box 8 za sabuni, dawa za mswaki 120 n.a. vitabu 74 (penda lisilo kifani na Tumaini )








Huduma ya kuchangia damu

Angalia Video fupi hapa chini

Mungu awabariki wote walio jitoa kwaajili ya siku ya leo!
Powered by Blogger.