Tangazo la Mkutano Mkuu wa Kanisa (Halmashauri ya Kanisa)
Tangazo la Mkutano Mkuu wa Kanisa (Halmashauri ya Kanisa)
Habari ndugu mshiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara, tunapenda kuwatangazia kuwa Mkutano Mkuu wa Kanisa (Halmashauri ya Kanisa) utafanyika siku ya Jumapili 24 March, 2019. Washiriki wote wa kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara (Mtwara SDA) mnaombwa kuhudhuria bila kukosa.
AU