Matangazo ya Kanisa, Sabato ya tarehe 06/04/2019 Mtwara SDA
Karibu katika tovuti ya kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara (Mtwara SDA) yafuatayo ni matangazo ya kanisa Sabato ya 06/04/2019. Baada ya kusoma tumia vitufe vya mitandao ya kijamii vilivyopo hapo chini kusambaza (share) kwa waumini wengine.