Karibu kwenye Ibada ya Kufungua Sabato

Habari, Hongera kwa kufanya kazi kwa muda wa siku sita, Tunakukaribisha jioni ya leo kuanzia saa 11:30 katika ibada makini ya Ufunguzi wa Sabato. Tafadhali wakumbushe wengine pia.
Kama wewe ni mgeni katika mji wa Mtwara, waweza kuuliza mahali lilipo kanisa la Waadventista Wasabato utaelekezwa. Mungu akubariki

No comments

Powered by Blogger.