Habari, Hongera kwa kazi, nakukumbusha kupanga ratiba zako vizuri ili uweze kupata muda wa kuhudhuria ibada ya maombi leo jioni kuanzia saa 11:00. Kama wewe ni mgeni hapa Mtwara ulizia sehemu inayoitwa Sabato. Mungu akubariki
No comments
Post a Comment