KARIBU KATIKA MAKAMBI MTAA WA MTWARA 11-18 JULY, 2020

HABARI, TUNAKUALIKA KATIKA MAKAMBI YA MTAA WA MTWARA KUANZIA TAREHE 11-18 JULY 2020. PIA TUNAKUALIKA KUSHIRIKI BARAKA ZA KAMBI KWA KUCHANGIA MAANALIZI NA SADAKA KUPITIA NJIA ZIFUATAZO: CRDB BANK: ACCOUNT NO: 0152328970800 ACC NAME: MTWARA SDA CHURCH NBC BANK ACCOUNT NO: 034201017002 ACC NAME: SDA CHURCH MTWARA NAMBA ZA MHAZINI 0712 155 492, 0762 128 747 JINA: FADHILI TARAMO KARIBUNI SANA NA MUNGU AWABARIKI

No comments

Powered by Blogger.