JE WAJUA?
Tunaishi katika wakati wa mwisho, Unabii ulioandikwa katika kitabu cha Danieli unaonekana sasa unatimia mbele ya macho yetu. Mapinduzi makubwa ya sayansi na teknolojia yametokea. Swali ni hili, Je sisi kama watu wa Mungu tunayatumiaje mapinduzi haya ya teknolojia katika kueneza injili?
Kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara, limefungua tovuti hii itakayo saidia kufanya kazi ya Mungu. Nakusihi uchukue fursa hii kuwajulisha rafiki zako juu ya tovuti hii ili nao wapate mbaraka toka juu. Huu si wakati wa kulala, imetupasa kutoka usingizini kwani pambazuko li karibu kuliko tunavyo fikiri.
Usisahau kuungana nasi katika mtandao wa Facebook kupitia link hii>>>Mtwara SDA Church
No comments
Post a Comment