HABARI NJEMA KWAKO!!!

Ndugu mtembeleaji, tunayo furaha kukujulisha kwamba sasa waweza kusikiliza Morning Star Fm radio moja kwa moja (live) kupitia tovuti hii. Hii ni kwa watumiaji wote wa smartphone, tablets, laptops na desktops. Endelea kupata
mbaraka kwa namna ya pekee kupitia tovuti hii. Usisahau kujiunga na ukurasa wetu wa Facebook ili uweze kupokea habari mpya kila zinapowekwa hapa.

No comments

Powered by Blogger.