KARIBU MTWARA SDA!!

Habari yako mpendwa, Karibu katika tovuti ya Mtwara SDA. Hii ni tovuti rasmi ya kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara mjini. Kupitia tovuti hii, utapokea taarifa mbalimbali muhimu toka kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara. Waalike ndugu, jamaa na marafiki kutembelea tovuti hii kila mara kupokea taarifa muhimu. Pia usisahau kuungana nasi
katika ukurasa wetu wa facebook ambao ni >>> Mtwara SDA Church <<<
Ubarikiwe sana.

No comments

Powered by Blogger.