CHANGIZO LA UJENZI WA KANISA KUFANYIKA TAR 6 DEC.

Kanisa la Waadventista Wasabato la Mtwara linatarajia kufanya changizo maalumu kwaajili ya kumalizia ujenzi wa Kanisa. Katika changizo hilo, zaidi ya shilingi 51,000,000/= (Milioni hamsini na moja) za Kitanzania zinahitajika ili kukamilisha ujenzi huo. 

Baadhi ya mahitaji yanayotakiwa ni Mabati ya migongo mipana, Sealing board, Feni+AC, Kuingiza umeme wa 3 phrase, Ujenzi wa vyoo vya kisasa na ujenzi wa ofisi za kanisa.
Unaalikwa kuwa sehemu ya watakao hudhuria katika ibada hiyo maalumu ya kumjengea Bwana hekalu lake.  

No comments

Powered by Blogger.