KANISA LA MTWARA SDA KUFANYA UINJILISTI NALIENDELE
Kanisa la Waadventista Wasabato la Mtwara mjini limedhamiria kufanya uinjilisti wa nyumba kwa nyumba katika kijiji cha Naliendele kilichopo nje kidogo ya manispaa hiyo. Uinjilisti huo utaanza Jumapili ya tarehe 16/11/2014 na utafanyika kwa muda wa wiki mbili.
Pamoja na wainjilisti watakaofika kufanikisha kazi hii, Washiriki wa kanisa la Mtwara mjini wamehimizwa kujitoa kwa hali na mali kuhakikisha kijiji cha Naliendele kinafikiwa na Injili ya kweli na hatimaye kundi la Naliendele litengwe kuwa kanisa. Tuombe Mungu afanikishe kazi hii na kujipatia mavuno.

No comments
Post a Comment