WATANO WABATIZWA MTWARA SDA
Kanisa la Waadventista Wasabato la Mtwara mjini limeendelea kukua baada ya kubatiza watu watano katika Sabato ya leo tar 13/12/2014. Ubatizo huo umeendeshwa na Mchungaji Zetti Ndola ambaye ndiye mchungaji wa mtaa wa Mtwara. Ubatizo huo ulifanyika mara baada ya kuhitimishwa kwa juma la uwakili lililokuwa likiendelea kanisani hapo.
Waumini walio jitoa kwa ubatizo |
Picha za waumini walio jitoa |
Mchungaji akiwaapisha waumini kabla ya ubatizo |
No comments
Post a Comment