HABARI NJEMA: MCHINA ABATIZWA MTWARA!!

MZEE WA KANISA AKIMPA MKONO
WA UKARIBISHO MUUMINI MPYA.
Kanisa la Waadventista Wasabato la Mtwara mjini limefanikiwa kuongeza muumini mpya ambaye ni Mchina aliye batizwa Tarehe 25 October 2014. Ubatizo huo ulifanyika katika Kanisa la Shangani japo ushirika wake utakuwa katika kanisa la Mtwara S.D.A

Aidha katika ubatizo huo waumini wengine walio batizwa na wale wa kutoka katika kijiji cha Imekuwa walio pokea injili kwa njia ya Redio (Info radio). Jina la Bwana litukuzwe kwakuwa ameendelea kujipatia mavuno kwa njia ya pekee.

No comments

Powered by Blogger.