CHANGIZO LA MORNING STAR TV LAFANYIKA MTWARA SDA.
Kanisa la Waadventista Wasabato la Mtwara mjini Jana tar 1 November 2014 Limeungana na makanisa mengine nchini Tanzania katika changizo kwaajili ya Morning Star Tv.
Katika changizo hilo waumini waliaswa kujitoa kwa hali na mali kuhakikisha Morning Star Tv inapata fedha za kuiwezesha kuwa hewani.
Morning Star Tv ni televisheni inayo endeshwa na kanisa la Waadventista wasabato inayo tarajiwa kupeleka ujumbe wa malaika watatu ili kutimiza agizo la utume tulilopewa na Yesu.
Televisheni hiyo imesha anza kupatikana kwa majaribio kupitia visimbuzi vya TING.
Changizo lililofanyika jana litasaidia katika kukamilisha mapungufu yaliyopo kisha Tv itazinduliwa rasmi kwani tayari imeshapata kibali toka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA.

No comments
Post a Comment