Kongamano la idara ya Wanawake lililokuwa likiendelea katika chuo cha ualimu Mtwara (Mtwara TTC), linahitimishwa Sabato ya leo. Moto wa kangamano ni " BWANA TUONYESHE NJIA TUKUTUMIKIE" Hakika kongamano hili limekuwa mbaraka mkubwa kwa wote walio hudhuria.
No comments
Post a Comment