Kanisa la Waadventista Wasabato la Mtwara mjini limehitimisha mwaka kwa huduma ya meza ya bwana iliyofanyika tarehe 27/12/2014 ambayo ni sabato ya 52 na yamwisho kwa mwaka 2014.Angalia picha za matukio yaliyo jiri kwenye Sabato hii yapekee.
No comments
Post a Comment