SABATO YA TAREHE 30 JULY 2016 - KATIKA KUNDI LA NALIENDELE: MTWARA

Sabato ya tarehe 30 July 2016 imekuwa sabato ya pekee sana kwa kundi la Naliendele - Mtwara baada ya kutembelewa na kwaya ya Ufunuo kutoka kanisa mama (Mtwara SDA). Mara baada ya Ibada, washiriki wa kundi la Naliendele walishiriki kwa pamoja na wageni wao katika chakula cha mchana kisha vipindi vya mchana viliendelea. Angalia picha za matukio mbalimbali katika ibada hiyo;


















No comments

Powered by Blogger.