9 Wabatizwa Mtwara SDA

Mkutano mkubwa wa Injili uliokuwa ukiendeshwa katika kijiji cha Moma, umekamilika ambapo watu 9 walimpokea Yesu kwa njia ya ubatizo. Ubatizo huo ulifanyika siku ya Sabato 28 September, 2019 na uliendeshwa na mchungaji wa mtaa wa Mtwara Pr. Yusuph Ibrahim Juma. Hizi ni picha tukio la kula kiapo.




Powered by Blogger.