Habari, leo Jumapili 06.10.2019 kuanzia saa 7 kamili mchana kutakuwa na Ibada ya ndoa takatifu kati ya
Juma John Elisha na Neema Raphael Darmian. Ibada itaongozwa na Mchungaji wa mtaa wa Mtwara Pr Yusuph I. Juma. Tafadhali fika kwa wakati na Mungu akubariki