Karibu kwenye mkutano wa injili "Tumekaribia Nyumbani" kuanzia saa 12 kamili jioni
Habari ya kazi, karibu katika blog ya kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara, kama bado huja pakua programu tumishi yetu, BOFYA HAPA
Mkutano wa injili kwa njia ya satellite "Tumekaribia Nyumbani" unaendelea, tuna kituo katika kanisa letu la Mtwara SDA, tafadhali fika na wageni wako kuanzia saa 12 kamili jioni. Kama ulikosa mfululizo wa mkutano huu basi waweza kupata vipindi vilivyopita kwa ku bofya HAPA au HAPA