Kumbuka kuhudhuria ibada ya maombi leo Jumatano 02/10/2019
Leo ni siku ya Jumatano, siku ambayo kanisa la Waadventista Wasabato ulimwenguni limeitenga kwaajili ya maombi, tafadhali panga ratiba zako vyema ili uhudhurie ibada ya maombi kuanzia saa 11 kamili jioni.
Pia mara baada ya ibada ya maombi mkutano wa injili kwa njia ya Sattelite utaendelea katika kituo cha Mtwara SDA. Mungu akubariki.
Pia mara baada ya ibada ya maombi mkutano wa injili kwa njia ya Sattelite utaendelea katika kituo cha Mtwara SDA. Mungu akubariki.
FUATILIA MASOMO YALIYOPITA KATIKA MKUTANO WA INJILI KWA NJIA YA SATTELITE - TUMEKARIBIA NYUMBANI
BONYEZA HAPA AU HAPA