MATANGAZO YA KANISA, SABATO YA TAREHE 05 OCTOBER, 2019


Karibu katika blog ya kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara, Yafuatayo ni Matangazo ya kanisa, Sabato ya tarehe 05 October, 2019. 
KAMA BADO HUJAPAKUA APP YA MTWARA SDA TAFADHALI BOFYA HAPA KUIPAKUA
  1. Tunapenda kuwakaribisha Wageni kwa Wenyeji katika ibada ya leo ambapo kwaya ya KKKT Mtwara imetutembelea ili kushiriki nasi katika ibada.
  2. Waimbaji wa kikundi cha The Hope Generation Singers na kwaya ya Ufunuo, wanakumbushwa kuzingatia kufunga viti na milango ya kanisa mara baada ya mazoezi ya uimbaji. Aidha washiriki wote wanaokuja ku fanyia vikao vyao kanisani wafunge viti na milango ya kanisa.
  3. Sabato ya tarehe 12.10.2019 kwaya ya Ufunuo watasali na kuhudumu katika kundi la Kitere.
  4. Sabato ya tarehe 12.10.2019 kutakuwa na rally ya wainjilisti itakayofanyika hapa Mtwara SDA
  5. Sabato ya tarehe 26.10.2019 itakuwa ni siku ya Watafuta njia (Pathfinders) hapa kanisani
  6. SABATO IJAYO NI SABATO MAALUMU YA KUTAMBUA HUDUMA YA WACHUNGAJI KANISANI.
WAGONJWA
Tuendelee kuwaombea wagonjwa wote, na tukumbuke, kuwatembelea kwaajili ya faraja.

TANGAZO LA NDOA
Tunatangaza kusudio la kufunga ndoa takatifu kwa mara ya tano na ya mwisho kati ya ndugu Juma John Elisha na Neema Raphael Darmian; itakayofungwa jumapili ya tarehe 06.10.2019 katika kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara 

VIKAO/SEMINA NA MIKUTANO

  • Jumapili ya tarehe 13.10.2019 kutakuwa na kikao cha baraza la kanisa, hivyo wajumbe wote wasipange kukosa.
  • Mahubiri ya TMI SEC 2019 yanaanza leo, kwa hapa Mtwara tutaunganisha na Mikutano ya Sattelite hivyo tutaongeza kituo chapili Mbawala juu.
  • Kutakuwa na kongamano la mwaka la wanataaluma na wajasiriamali litakalo fanyika NSSF Ilala Dar es Salaam, kuanzia tarehe 11-14/10/2019. kiingilio ni 100,000/= utapata mlo wa mchana, makabrasha na viburudisho.
  • Mahubiri kwa njia ya Sattelite (Tumekaribia Nyumbani), yanaendelea kupitia STAR RELIGION na hapa kanisani tuna kituo, jitahidi kuhudhuria wewe pamoja na wageni. Kama ulipitwa na baadhi ya masomo BOFYA HAPA au BOFYA HAPA kuyatazama.
WAHUDUMU MAKUNDINI, SABATO YA TAREHE 12 OCTOBER 2019
KITERE: MICHAEL JOHN
UTENDE: MKUU WA KUNDI
NALIENDELE: MKUU WA KUNDI
MOMA: CHARLES MAKONGO
MDENGA: BARAKA ODONGO
MBAWALA: MKUU WA TAWI
KING DAVID: MKUU WA TAWI
MTWARA GIRLS: EDITHA MWAYA

WAHUDUMU SABATO YA TAREHE 12 OCTOBER, 2019 MTWARA SDA
MHUBIRI: WAINJILISTI
MWENYEKITI: WAINJILISTI
FUNGU KUU / OMBI: WAINJILISTI
ZAKA / SADAKA: WAINJILISTI
MHUBIRI WATOTO: WAINJILISTI
WIMBO HUBIRI: HOPE GENERATION SINGERS
WIMBO WATOTO: AC + PFC KWAYA
WIMBO ZAKA & SADAKA: WAINJILISTI KWAYA
WIMBO KUTOKA: HOPE GENERATION SINGERS

UTARATIBU WA IBADA KATIKATI YA WIKI: WAINJILISTI

MASHEMASI WA ZAMU 06 - 12/10/2019
EFUGANIE HAULE - SHEMASI MKUU KIKE 
MWANNE MSHIBA 
SEBASTIAN RESPICOUS  
PRISCA JOSEPH 
LIDIA ULEDI

MZEE WA ZAMU 06 - 12/10/2019
VICTOR DANFORD
MUNGU AKUBARIKI
Powered by Blogger.