Karibu kwenye Ibada ya Maombi Leo Jumatano 20/11/2019

Hongera kwa kazi, nakukumbusha kuhudhuria ibada ya maombi leo Jumatano 20/11/2019 kuanzia saa 11:00 jioni. Kama wewe ni mgeni hapa Mtwara uliza sehemu inayoitwa Sabato na utaoneshwa kanisa lilipo.
Mungu akubariki unapo jiandaa kuhudhuria katika ibada hii makini.


No comments

Powered by Blogger.