Kumbuka Kuhudhuria kwenye Ibada ya Maombi Leo Admin 2:59 PM 0 Habari za kazi, Nakukumbusha kuhudhuria kwenye ibada ya maombi leo Jumatano kuanzia saa 11:00 jioni. Kama wewe ni mgeni hapa Mtwara uliza se...
Karibu katika Ibada ya Ufunguzi Wa Sabato Admin 5:39 PM Habari, Hongera kwa kufanya kazi kwa muda wa siku sita, tunakukaribisha kanisani kwaajili ya Ibada takatifu ya Ufunguzi wa Sabato. Mungu ak...
Majina ya Kamati ya Effort Itakayofanyika Kitere Mwezi wa 11 Admin 6:44 PM Yafuatayo ni majina ya Kamati ya Effort Itakayofanyika Kitere 02-06 November, 2019
Matangazo ya Kanisa Sabato ya 19 October, 2019 Admin 6:39 PM Karibu katika Blog ya Kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara. Yafuatayo ni matangazo ya kanisa Sabato ya 19 October, 2019
Karibu katika ibada ya Ufunguzi wa Sabato Admin 4:03 PM Habari za kazi, baada ya siku sita za kazi, nakukaribisha leo jioni kuanzia saa 11:30 kwenye ibada ya ufunguzi wa Sabato. Mkumbushe mwingine...
MATANGAZO YA KANISA, SABATO YA TAREHE 12 OCTOBER, 2019 Admin 9:15 PM MATANGAZO YA KANISA, SABATO YA TAREHE 12 OCTOBER, 2019
Karibu katika ibada ya ufunguzi wa Sabato Admin 4:45 PM Habari za kazi, tunachukua fursa hii kukukaribisha katika ibada ya ufunguzi wa sabato kuanzia saa 11:30 jioni ya leo kisha tutaendelea na mf...
Karibu kwenye mkutano wa injili "Tumekaribia Nyumbani" kuanzia saa 12 kamili jioni Admin 5:25 PM Habari ya kazi, karibu katika blog ya kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara, kama bado huja pakua programu tumishi yetu, BOFYA HAPA
Karibu kwenye Ibada ya Ndoa Leo saa 7 kamili mchana - Mtwara SDA Admin 12:14 PM Habari, leo Jumapili 06.10.2019 kuanzia saa 7 kamili mchana kutakuwa na Ibada ya ndoa takatifu kati ya Juma John Elisha na Neema Raphael Da...
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KTK SABATO YA 05/10/2019 Admin 3:01 PM Karibu katika blog ya kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara. KAMA BADO HUJAPAKUA APP YA MTWARA SDA KATIKA SIMU YAKO PAKUA SASA KWA KU BOFY...
MATANGAZO YA KANISA, SABATO YA TAREHE 05 OCTOBER, 2019 Admin 9:10 PM Karibu katika blog ya kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara, Yafuatayo ni Matangazo ya kanisa, Sabato ya tarehe 05 October, 2019. KAMA ...
Usikose Ibada ya kufungua Sabato Admin 1:58 PM Habari, Hongera kwa kufanya kazi kwa muda wa siku sita, Nachukua fursa hii kukukaribisha katika ibada ya ufunguzi wa Sabato ifikapo saa 11:3...
Kumbuka kuhudhuria ibada ya maombi leo Jumatano 02/10/2019 Admin 10:07 AM Leo ni siku ya Jumatano, siku ambayo kanisa la Waadventista Wasabato ulimwenguni limeitenga kwaajili ya maombi, tafadhali panga ratiba zako ...
Mkutano wa Injili kwa njia ya Sattelite: Tumekaribia Nyumbani Admin 3:45 PM Habari ndugu mshiriki, tafadhali usikose kuungana nasi katika mkutano wa injili kwa njia ya Sattelite wenye kauli mbiu "Tumekaribia Nyu...