Matangazo ya Kanisa, Sabato ya tarehe 01 February, 2020. Admin 8:41 PM 0 Karibu katika blog rasmi ya kanisa la Waadventista Wasabato Mtwara. Yafuatayo ni matangazo ya kanisa Sabato ya tarehe 01/02/2020.
Siku 10 za maombi: Sherehe ya Siku ya Sabato ya Mwisho - Jumamosi (18/01/2020) Admin 5:00 AM 0 Kutafuta Roho wa Mungu Mfumo uliopendekezwa kwa Sabato ya Mwisho Sabato hii ya mwisho inapaswa kuwa muda wa kufurahi sana katika yale y...
Siku 10 za maombi: Siku ya Kumi - Ijumaa - (17/01/2020) Admin 5:00 AM 0 Kudumu katika Roho Mtakatifu Fungu Elekezi: “Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele… Sitawaacha...
Siku 10 za maombi: Siku ya Tisa - Alhamisi - (16/01/2020) Admin 5:00 AM 0 Kazi ya Roho Mtakatifu Fungu Elekezi: “Baada ya hayo naliona malaika mwingine, akishuka kutoka mbinguni, mwenye mamlaka kuu; na nchi ikaa...
Siku 10 za maombi: Siku ya Nane - Jumatano - (15/01/2020) Admin 5:00 AM 0 Kujisalimisha kwa Roho Mtakatifu Fungu Elekezi: “Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila...
Siku 10 za maombi: Siku ya Saba - Jumanne - (14/01/2020) Admin 5:00 AM 0 Kuomba katika Roho Mtakatifu Fungu Elekezi: “Kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu k...
Siku 10 za maombi: Siku ya Sita - Jumatatu - (13/01/2020) Admin 5:00 AM 0 Zawadi za Roho Mtakatifu Fungu Elekezi: “Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule. Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni ye...
Siku 10 za maombi: Siku ya Tano - Jumapili - (12/01/2020) Admin 5:00 AM 0 Tunda la Roho Mtakatifu Fungu Elekezi: “Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kia...
Siku 10 za maombi: Siku ya Nne - Jumamosi - (11/01/2020) Admin 5:00 AM 0 Ubatizo wa Roho Mtakatifu Fungu Elekezi: “Hata alipokuwa amekutana nao aliwaagiza wasitoke Yerusalemu, bali waingoje ahadi ya Baba, ambay...
Matangazo ya kanisa: Sabato ya tarehe 11/01/2020 Admin 2:46 PM 0 Ukaribisho: Wageni kwa Wenyeji karibuni nyote katika Ibada Takatifu ya Sabato ya leo. Bwana yuko ndani ya hekalu lake Takatif...
Siku 10 za maombi: Siku ya Tatu - Ijumaa - (10/01/2020) Admin 5:00 AM 0 Ushindi Kupitia kwa Roho Mtakatifu Fungu Elekezi: “Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.” Wagalatia 5...
Siku 10 za maombi: Siku ya Pili - Alhamisi- (09/01/2020) Admin 8:46 AM 0 Ushuhuda wa Roho Mtakatifu Fungu Elekezi: “Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.” Yo...
Siku 10 za Maombi: Siku ya Kwanza - Jumatano - (08/01/2020) Admin 1:59 PM 0 Siku ya Kwanza - Jumatano - (08/01/2020) Hitaji Letu la Roho Mtakatifu Fungu Elekezi: “Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yen...